Habari za Punde

WANAWAKE WAMILIKI WA SHULE NA VYUO KUFAIDIKA NA BENKI YA NMB

Katibu Mkuu wa  Baraza la Uwekezaji Kiuchumi, Bengi Mazana (wa pili kulia waliosimama nyuma)  akishuhudia Kaimu Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB, Juma Kimori (waliokaa kushoto) na  Mwenyekiti wa Chama cha Wanawake Wamiliki wa Shule na Vyuo TAWOSCO, Justina Lukumay wakisaini Mkataba wa makubaliano ya ushirikiano, wakati wa hafla hiyo iliyofanyika leo katika Ukumbi wa Maqie Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam, Waliosimama (kushoto) ni Afisa Mkuu, Wateja Binafsi na Biashara NMB, Filbert Mponzi.(wa pili kushoto) ni Mwanasheria wa Kampuni NMB, Mwantum na Katibu wa TAWOSCO, Aisha Mzee.
Katibu Mkuu wa  Baraza la Uwekezaji Kiuchumi, Bengi Mazana (wa tatu kushoto )  akishuhudia Kaimu Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB, Juma Kimori (wa pili kushoto) na  Mwenyekiti wa Chama cha Wanawake Wamiliki wa Shule na Vyuo TAWOSCO, Justina Lukumay (wa tatu kulia) wakionesha nyaraka baada ya kutiliana saini Mkataba wa makubaliano ya ushirikiano, wakati wa hafla hiyo iliyofanyika leo katika Ukumbi wa Maqie Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam, Kushoto ni Afisa Mkuu, Wateja Binafsi na Biashara NMB, Filbert Mponzi.(wa pili kulia) ni Katibu mkuu wa TAWOSCO Aisha Mzee na Mwanasheria wa Kampuni NMB, Mwantum .Katibu Mkuu wa  Baraza la Uwekezaji Kiuchumi, Bengi Mazana (katikati)  akishuhudia Kaimu Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB, Juma Kimori (wa pili kushoto) na  Mwenyekiti wa Chama cha Wanawake Wamiliki wa Shule na Vyuo TAWOSCO, Justina Lukumay (wa tpili kulia) wakibadiliashana nyaraka baada ya kutiliana saini Mkataba wa makubaliano ya ushirikiano, wakati wa hafla hiyo iliyofanyika leo katika Ukumbi wa Maqie Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam, Kushoto ni Afisa Mkuu, Wateja Binafsi na Biashara NMB, Filbert Mponzi.Kaimu Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB, Juma Kimori, akizungumza katika hafla hiyo.Afisa Mkuu, Wateja Binafsi na Biashara NMB, Filbert Mponzi, akizungumza katika hafla hiyo.Mkuu wa Idara ya Biashara Benki ya NMB, Alex Mgeni, akifafanua baadhi ya mambo kuhudu huduma ya mikopo wakati wa hafla hiyo.
Kaimu Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB, Juma Kimori, akipokea zawadi kwa niaba ya CEO wa benki hiyo, Madam Zaipuna.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.