Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni akimkabidhi hati ya kiapo cha kuwa Mjumbe wa Tume ya Utumishi ya Jeshi la Polisi, Magereza, Zimamoto na Uokoaji na Uhamiaji, Naibu Kamishna wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Puyo Nzalayaimisi, baada ya kula kiapo kuwa mjumbe wa tume, leo Jijini Dar es Salaam. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni akimkabidhi hati ya kiapo cha kuwa Mjumbe wa Tume ya Utumishi ya Jeshi la Polisi, Magereza, Zimamoto na Uokoaji na Uhamiaji, Mkurugenzi Msaidizi wa tume hiyo Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Jeshi la Polisi, George Mwansansu, baada ya kula kiapo kuwa mjumbe wa tume, leo Jijini Dar es Salaam. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya NchiMkurugenzi wa Utawala na Rasilimaliwatu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Miriam Mmbaga (kulia) pamoja na Watumishi wengine wa Wizara hiyo wakimsikiliza Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni(hayupo pichani), wakati wa Kikao cha Tume ya Utumishi ya Jeshi la Polisi, Magereza, Zimamoto na Uokoaji na Uhamiaji kilichofanyika leo Jijini Dar es Salaam. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, John Masunga (kulia), Kamishna wa Utawala na Menejimenti ya Rasilimaliwatu, Suzan Kaganda (kushoto), Kamishna wa Utawala na Usimamizi wa Rasilimaliwatu Jeshi la Magereza, Jeremiah Katungu (katikati) wakifuatilia kwa kina mjadala wakati wa Kikao cha Tume ya Utumishi ya Jeshi la Polisi, Magereza, Zimamoto na Uokoaji na Uhamiaji kilichofanyika leo Jijini Dar es Salaam. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya NchiKamishna Jenerali wa Uhamiaji Dkt. Anna Makakala (kushoto), Kamishna wa Uhamiaji Zanzibar, Hassan Ali Hassan (katikati), Kamishna wa Utawala na Fedha wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Mbaraka Semwanza (kulia) wakifuatilia mjadala wakati wa Kikao cha Tume ya Utumishi ya Jeshi la Polisi, Magereza, Zimamoto na Uokoaji na Uhamiaji kilichofanyika leo Jijini Dar es Salaam. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
No comments:
Post a Comment