Habari za Punde

BENKI YA NMB YAZINDUA KAMPENI YA UMEBIMA HAACHWI MTU JIJINI ARUSHA

Mkuu wa Idara ya Bima wa Benki ya NMB, Martine Masawe (kushoto) akimfafanulia jambo mfanyabiashara Dyana Gideon, kuhusu suala zima la kufungua akaunti ya NMB itakayomwezesha kupata huduma ya Bima ya Afya na ya Biashara kwa kuchangia gharama kidogo, wakati walipotembelea katika Soko la Kilombero jijini Arusha kuzindua kampeni ya UMEBIMA Haachwi mtu iliyozinduliwa leo  katika viwanja vya soko hilo. katikati ni Meneja wa NMB Kanda ya Kaskatini, Baraka Ladislaus.
Mkuu wa Idara ya Bima wa Benki ya NMB, Martine Masawe, akizungumza wakati wa hafla ya uzinduzi wa Kampeni ya ''UMEBIMA HAACHWI MTU'' iliyofanyika katika Viwanja vya Soko la Kilombero jijini Arusha mwishoni mwa wiki.
Meneja wa NMB Kanda ya Kaskazini, Baraka Ladislaus, akizungumza wakati wa hafla ya uzinduzi wa Kampeni ya ''UMEBIMA HAACHWI MTU'' iliyofanyika katika Viwanja vya Soko la Kilombero jijini Arusha mwishoni mwa wiki. .
Afisa Mauzo wa Benki ya NMB Kanda ya Kaskazini, Salha Hatib (katikati) akimwelewesha mteja wake jinsi ya kupata Bima ya Afya ama ya Biashara kupitia Akaunti ya NMB kwa malipo ''kiduchu'' wakati wa hafla ya uzinduzi wa Kampeni ya ''UMEBIMA HAACHWI MTU'' iliyofanyika katika Viwanja vya Soko la Kilombero jijini Arusha mwishoni mwa wiki.
Maafisa Mauzo wa Benki ya NMB Kanda ya Kaskazini, Salha Hatib (katikati) na Glory Heavengton (kulia) wakimwelewesha mteja wao jinsi ya kupata Bima ya Afya ama ya Biashara kupitia Akaunti ya NMB kwa malipo ''kiduchu'' wakati wa hafla ya uzinduzi wa Kampeni ya ''UMEBIMA HAACHWI MTU'' iliyofanyika katika Viwanja vya Soko la Kilombero jijini Arusha mwishoni mwa wiki.
Baadhi ya Viongozi waandamizi wa Benki ya NMB wakikatiza mitaa kutoa elimu kuhusu ufunguazi wa Akaunti ya NMB ili kupata Bima ya Afya ama ya Biashara, wakati wa hafla ya uzinduzi wa Kampeni ya ''UMEBIMA HAACHWI MTU'' iliyofanyika katika Viwanja vya Soko la Kilombero jijini Arusha mwishoni mwa wiki.
Maafisa Mauzo wa NMB wakiwa katika heka heka za uzinduzi wa kampeni ya ''UMEBIMA HAACHWI MTU''  katika Viwanja vya Soko la Kilombero jijini Arusha mwishoni mwa wiki.
Baadhi ya Viongozi waandamizi wa Benki ya NMB wakikatiza mitaa kutoa elimu kuhusu ufunguazi wa Akaunti ya NMB ili kupata Bima ya Afya ama ya Biashara, wakati wa hafla ya uzinduzi wa Kampeni ya ''UMEBIMA HAACHWI MTU'' iliyofanyika katika Viwanja vya Soko la Kilombero jijini Arusha mwishoni mwa wiki.
Ni full shangwe wakati wa uzinduzi huo
Baadhi ya Boda boda wa Arusha waliojiunga na huduma ya Bima siku hiyo ya uzinduzi 
Picha ya pamoja
Maelekezo
Ufuatiliaji wa shughuli

Burudani
Machalii ya Chuga waliotoa burudani ya kuachana jukwani akapela
Maafisa Mauzo wa Benki ya NMB Kanda ya Kaskazini, Salha Hatib (kushoto)  na Glory Heavengton (wa pili kulia) wakimwelewesha wateja wao jinsi ya kupata Bima ya Afya ama ya Biashara  kupitia Akaunti ya NMB kwa malipo ''kiduchu'' wakati wa hafla ya uzinduzi wa Kampeni ya ''UMEBIMA HAACHWI MTU'' iliyofanyika katika Viwanja vya Soko la Kilombero jijini Arusha mwishoni mwa wiki.
Afisa Mauzo wa Benki ya NMB Kanda ya Kaskazini, akimwelewesha mteja wake jinsi ya kupata Bima ya Afya ama ya Biashara kupitia Akaunti ya NMB kwa malipo ''kiduchu'' wakati wa hafla ya uzinduzi wa Kampeni ya ''UMEBIMA HAACHWI MTU'' iliyofanyika katika Viwanja vya Soko la Kilombero jijini Arusha mwishoni mwa wiki.
Afisa Mauzo wa Benki ya NMB Kanda ya Kaskazini, Glory Heavengton akimwelewesha mteja wake jinsi ya kupata Bima ya Afya ama ya Biashara kupitia Akaunti ya NMB kwa malipo ''kiduchu'' wakati wa hafla ya uzinduzi wa Kampeni ya ''UMEBIMA HAACHWI MTU'' iliyofanyika katika Viwanja vya Soko la Kilombero jijini Arusha mwishoni mwa wiki.
Zoezi la kufungua akaunti likiendelea
Afisa Mauzo wa Benki ya NMB Kanda ya Kaskazini, Ester Mwakasege, akimwelewesha mteja wake jinsi ya kufungua Akaunti ili kupata Bima ya Afya ama ya Biashara kupitia Akaunti ya NMB kwa malipo ''kiduchu'' wakati wa hafla ya uzinduzi wa Kampeni ya ''UMEBIMA HAACHWI MTU'' iliyofanyika katika Viwanja vya Soko la Kilombero jijini Arusha mwishoni mwa wiki.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.