waziri wa mambo ya Ndani ya Nchi, Lawrance masha (kulia), Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira), Dk. Batilda Salha Burian na Naibu waziri wa kilimo, Chakula na ushirika, David Mathayo (katikati), wakitoka nje ya ukumbiwa Bunge mjini Dodoma leo. Picha na (SPM)
WAHITIMU TaSUBa WAHIMIZWA KUILINDA AMANI YA TANZANIA
-
Na MWANDISHI WETU, Bagamoyo
WAHITIMU wa Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUBa), wamehimizwa
kuilinda amani nchini.
Akizungumza katika Mahafali ya...
4 hours ago
No comments:
Post a Comment