Habari za Punde

Wabunge wawaombea dua Othman Aroub na Gologosi

Tuwaombee wenzetu.....Waumini na Wabunge wakila chakula cha mchana mara baada ya kumalizika kwa hitima, Dua ya kuwaombea aliyekuwa Kaimu Muft Seleman Gologosi na Othman Aroub, waliofariki hivi karibuni. Picha na (SPM)

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.