Habari za Punde

Spika Mgeni rasmi katika Hitima ya kuwakumbuka Othman na Gologosi, Bungeni Dodoma

Nawa Mheshimiwa hapa hatutumii kanuni wala Kifungu cha Sheria......Mbunge wa Mafia, Abdulkarim Shah, akimnawisha mgeni rasmi Spika wa Bunge, Samuel Sitta, aliyealikwa kwenye dua ya Hitima ya kuwaombea aliyekuwa kaimu Muft wa Baraza la Waislam Tanzania, Sheikh Selemani Gologosi na Othman Aroub, waliofariki hivi karibuni. Dua hiyo imewashirikisha pia baadhi ya Wabunge wa Dini ya kikristu walioalikwa na waumini wa Kiislam, iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Bunge mjini Dodoma jana, ambapo mgeni rasmi alikuwa Spika wa Bunge Samuel Sitta. Picha na (SPM)

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.