Habari za Punde

Chakula kwa wageni katika Hitima.....

Kilichandaliwa kwa ajili yetu jamani......Mbunge wa Ulanga Magharibi Dk. Juma Ngasongwa, akigawa chakula wa waumini na wageni waalikwa kwenye Hitima ya kuwaombea aliyekuwa kaimu Muft wa Baraza la Waislam Tanzania, Sheikh Selemani Gologosi na Othman Aroub, waliofariki hivi karibuni. Dua hiyo imewashirikisha pia baadhi ya Wabunge wa Dini ya kikristu walioalikwa na waumini wa Kiislam, iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Bunge mjini Dodoma jana, ambapo mgeni rasmi alikuwa Spika wa Bunge Samuel Sitta. Picha na (SPM)

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.