Habari za Punde

Margaret Sitta, azindua semina kuhusu Uzazi wa Mpango, Dodoma

Tuwafundishe kinamama kujiwekea akiba ili wasipate taabu ya usafiri wakati wa kujifungua....Waziri wa Maendeleo ya jamii, Jinsia na watoto, Margaret Sitta, akifungua rasmi Semina ya wabunge kuhusu masuala ya uzazi wa mpango, iliyoandaliwa na Tume ya Mipango na Wizara ya Afya na USAID, iliyofanyika mjini Dodoma jana. Picha na (SPM)

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.