Habari za Punde

Baraza la Wawakilishi Zanzibar, wawamwaga Wabunge wa Tz Bara katika Riadha

Ushindi mtamu jamani, hata sie Twawezaaaaaah.....Mshindi wa jumla wa Mbio za wabunge, Waziri wa Ofisi ya Waziri Kiongozi, Hamza Hassan Juma, akibebwa juu baadhi ya Wajumbe wa baraza la wawakilishi zanzibar, kushangilia ushindi wake baada ya kukabidhiwa kombe, na Waziri Mkuu Mizengo Pinda, kwenye Viwanja vya Bunge mjini Dodoma jana kwa kufika kwenye viwanja hivo akiwa wa kwanza. Picha na (SPM)

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.