Habari za Punde

Simbachawene amtoa jasho Naibu wa Michezo

Kaka ni Wizara yako lakini Mjengoni lazima mimi wa kwanza..... Mbunge wa Jimbo la Kibakwe, Geogre Simbachawene, akichuana na Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni na Michezo, Joel Bendera, wakati wakimalizia mbio za Wabunge zilizofanyika jana mjini Dodoma, kuanzia kwenye Uwanja wa Jamhuri na kumalizikia kwenye Viwanja vya Bunge mjini Dodoma. Picha na (SPM)

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.