Habari za Punde

Furaha ya Wabunge, Mjengoni.....

E bwana eh! hiyo kali kaka Membe, usinchekeshe mieeeeee!!!!!! Waziri wa mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Benard Membe (kushoto), Mbunge wa Maswa, Magalle Shibuda (katikati), Mbunge wa Kyela Harrison Mwakyembe (mbele) na Mwekezaji wa Umeme Mkoa wa Singida wa kampuni ya TBC 1998 Ltd, Isaac Mwamanga (kulia) wakifurahia jambo nje ya Ukumbi wa Bunge mjini Dodoma, leo. Picha na (SPM)

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.