Habari za Punde

Spika awapongeza UWT Jimbo la Kinondoni...

Mfagilieni Idd Azan jamani, kuingia mjengoni mwakani ipo kazi ohooo! Spika wa Bunge, Samuel Sitta (kushoto) akisalimiana Mwenyekiti wa Umoja Wanawake Tanzania (UWT), Sophia Simba, akiwa na wageni wa Idd Azan, Viongozi wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) wa Jimbo la Kinondoni, wakati walipofika kutembelea shughuli za Bunge mjini Dodoma, leo. Picha na (SPM)

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.