Habari za Punde

Azani akiwaongoza Viongozi wa UWT,Jimbo la Kinondoni, kwenye Viwanja vya Bunge.

Hapa ndo mjengoni jamani........Mbunge wa Jimbo la kinondoni, Idd Azan, akiwatembeza wageni wake, Viongozi wa Umoja wa wanawake Jimbo la kinondoni (UWT), kwenye Viwanja vya Bunge mjini Dodoma leo. Picha na (SPM)

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.