Habari za Punde

Picha ya Kumbukumbu mjengoni Dom

Jamani tuseme Ndiziiiiiiiii............. Spika wa Bunge, Samuel Sitta (wanne kulia), Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT), Sophia Simba (watatu kulia), Mbunge wa Jimbo la Kinondoni, Idd Azan, wakiwa katika picha ya pamoja na Viongozi wa UWT Jimbo la Kindondoni, kwenye Viwanja vya bunge mjini Dodoma leo. Picha na (SPM)

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.