Habari za Punde

Matumizi ya simu za mkononi....

Simu hizo jamanii Ohooo........ Jamani tuwe waangalifu kutumua simu za mkononi, wakati tukia njiani ama barabarani, waweza kujikwaa ama kugongana na mti, mtu hata gari ikawa balaa, maliza safari yako kisha anza kuchati ok!. Picha na (SPM)

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.