Habari za Punde

Hii ni hatari, madereva wa Dodoma kuweni makini...

Mzunguko wa barabara ya Dar es salaam, karibu na Kutuo kikuu cha mabasi cha mkoani Dodom, ukiwa na maua marefu ambayo yamekuwa yakilalamikiwa na baadhi ya madereva, kwani yamekuwa marefu bila kufanyiwa ukarabati, jambo ambalo linaweza kusababisha ajali kwani madereva wa magari madogo hushindwa kuonana wakati wa kupishana eneo hilo. Picha na (SPM)

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.