Habari za Punde

Ngeleja, Malima 'Kikaangoni' Leo......

Acha woga 'mshkaji' we twende tutapangua tu......Waziri wa Nishati na Madini, William Ngeleja (kushoto) na Naibu wake, Adam Malima, wakiingia kwenye Viwanja vya Bunge mjini Dodoma, leo ikiwa ni siku ya mwasilisho ya makadilio ya Matumizi ya Wizara hiyo kwa mwaka 2009-2010, ikiwa ni moja ya wizara iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu kubwa na Wabunge na Watanzania walio wengi. Picha na (SPM)

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.