Habari za Punde

Sikiliza Bwana Mdogo utapangua tu.....

Wala Usihofu kesho we kaza buti utapangua tu, inaonekana kama Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Lukuvu (kushoto), akimpa moyo Waziri wa Nishati na madini William Ngeleja, siku moja kabla ya Wizaya Ya Nishati na Madini kuwasilisha Bajeti yake ya matumizi, ya mwka 2009-2010. Picha na (SPM)

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.