Habari za Punde

Majiko Sanifu Bungeni,

Mnaona vyakula vyote hivi, tumepika kwa tumkaa hutu tu!!!!Ofisa Habari wa Kampuni ya kutengeneza majiko Sanifu ya 'Appropriate Rural Technology Institute' ya jijini Dar es Salaam, Cathbert Kajuna (wapili kuli), akitoa maelezo kwa Mbunge wa Mkanyageni Pemba, Mohamed Habib Mnyaa (katikati) akiwa na Madiwani na Makatibu
wa Jimbo lake, walipotembelea viwanja vya bunge mjini Dodoma jana, majiko hayo yanauwezo wa kupika vyakula aina 3 kwa wakati mmoja huku ukitumika mkaa hata wa sh 200 tu. (SPM)

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.