Habari za Punde

Hizi ndiyo Kazi zetu Waheshimiwa......

Siku moja kabla ya Bajeti ya Wizara yao kuwasilishwa Bungeni. Injinia Mwandamizi wa Shirika la Tanesco, Makao Makuu Dar es Salaam, Juliana Pallangyo (kushoto) akitoa maelezo kwa baadhi ya wabunge waliotembelea kwenye banda lao la maonyesho jana, katika Viwanja vya Bunge mjini Dodoma, kuhusu kazi mbalimbali zinazofanywa na shirika hilo. Picha na (SPM)

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.