Habari za Punde

Jinzi langu la mtoko, likikauka halinuki hata kama maji machafu

Mfarakano wa Wazazi ndiyo chanzo hasa cha watoto wa mitaani.Mtoto wa mitaani, akifua nguo yake kwenye dimbwi la maji yaliyotuama yanayotoka kwenye Chemba ya maji taka, katika mtaa wa Uhindini, Manispaa ya mjini Dodoma jana, bila kujali kuwa anaweza kupatwa na mlipuko wa magonjwa. Picha na (SPM)

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.