Habari za Punde

Maofisa wa Bunge Kazini

Wanafunzi katika Ziara ya Mafunzo Bungeni.Maofisa wa Bunge, Faith Shamwela (mbele kushoto), Mariam Mkumbaru (katikati) na Baraka Chidimizi, wakiwaongoza wanafunzi wa Shule ya Msingi Makole ya mjini Dodoma,kwenye Viwanja vya Bunge wakati walipofika kwa ajili ya ziara ya mafunzo kuhusu shughuli za
Bunge jana. Picha na (SPM)

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.