Habari za Punde

Matumizi ya kuni Vijijini, misitu itapona?

Maisha Bora kwa kila Mtanzania ni mijini tu? je sisi vipi? Asilimia kubwa ya watu waishio vijijini hutumia kuni, je ni lini nao watafikiriwa kufikishiwa huduma ya Gesi ili kuondokana na hadha hii kama si kupunguza ukataji wa misitu na uharibifu wa mazingira, pichani ni wakazi wa Kijiji cha bahi mjini Dodoma wakitoka kutafuta kuni kwa ajili ya matumizi ya nyumbani. Picha na (SPM)

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.