Habari za Punde

Si jela ya Watoto lah hasha.....

Nasi tunatamani kuingia tumuone vizuri Jakaya jamani...Watoto wakiwa kwenye uzio wa senyenge, wakitamani kufika eneo la tukio kwenye moja ya hafla iliyofanyika hivi karibuni mjini Dodoma, ambayo mgeni rasmi alikuwa ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete. Picha na (SPM)

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.