Habari za Punde

Mipasuo na Vijishanga vya Miguuni Bungeni vya nini?




Jamani dada zetu wakati mwingine mavazi yenu mfikirie pa kuyavalia, Visha vya miguuni na mipasuo Bungeni vya nini?? Mitego mitaani hadi kwa Waheshimiwa?, Wanafunzi wa Chuo cha Uandishi wa Habari kutoka jijini Dar es Salaam, wakiwa kwenye Viwanja vya Bunge mjini Dodopma jana, wakati walipofika kutembele na kuona shughuli za Bunge huku wakiwa wamevali mavazi ya kutega yenye mipasuo na Vijishanga miguuni. Eti haya ndiyo maadili ya fani ya Uandishi wa Habari??, hapa bado hata kuhitimu masomo yao je watakapohitimu mavazi heshima ya mavazi itachukua nafasi yake?? PPicha na (SPM)

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.