Habari za Punde

Mnara wa Mashujaa...

Tujifunze kutunza kumbukumbu. Kumbukumbu za Mashujaa wetu ni muhimu sana kwa Taifa letu kwa ajili ya vizazi vijavyo, huu ni Manara wa mashujaa uliopo karibu kabisa na Kituo Kikuu cha Mabasi cha mjini Dodoma. Picha na (SPM)

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.