Habari za Punde

Bajaji ndani ya mtaro wa maji machafu, Dereva apona

Si Chenge tu hata daladala zinavipa pande Vibajaji.............. Bajaji yenye namba za usajiri T 193 AVZ, ikiwa imetumbukia ndani ya mtaro wa maji machafu kwenye barabara ya Bagamoyo eneo la Makumbusho, bara baada ya kusukumwa na daladala na dereva na abiria waliokuwapo ndani ya bajaji hiyo, kurushwa nje na kuiacha ikisonga mtaroni pekee. Picha na (SPM)

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.