Habari za Punde

Mtibwa yaanza vyema Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara

Hapa hupiti kirahisi kiivyo weweeeeee......Mshambuliaji wa Mtibwa Sugar, Zahor Pazi (kulia) akijaribu kumtoka beki wa African Lyon, Hamis Shengi, wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom, uliochezwa kwenye Uwanja wa Uhuru Dar es Salaam jana. Mtibwa ilishinda 2-0. Picha na (SPM)

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.