Habari za Punde

Matukio ya sherehe ya kuagwa Flora Nducha, (Send Off Party)

Watakusahau leo nakwambia.....we tulia hivyo hivyo.... Mhudumu wa saluni ya Maznat, akimpamba mtangazaji wa BBC, Flora Nducha kujiandaa na sherehe ya kuagwa iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Msasani Club jijini Dar es Salaam hivi karibuni. Picha na (SPM)


No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.