Habari za Punde

Hasheem akicheza na wanafunzi wa Uhuru Wasichana

Ngoja niwafundishe kikapu warithi wangu.......Mchezaji wa mpira wa kikapu wa timu ya Memphis Grizzlies ya Marekani, Hasheem Thabeet, akicheza mchezo huo na wanafunzi wa shule ya Uhuru Wasichana, wakati alipofika shuleni hapo akiwa katika ziara yake kwa ajili ya kuhamasisha watoto kupenda michezo. Picha na (SPM)

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.