Habari za Punde

Hasheem Thabeet, atembelea shule ya Uhuru wasichana Dar

Duh! bonge la jasho watoto nao hawachoki kunizonga?........Mchezaji wa mpira wa kikapu wa timu ya Memphis Grizzlies ya Marekani, Hasheem Thabeet, akizingwa na wanafunzi wa Uhuru Wasichana wakati alipotembelea shuleni hapo kwa ajili ya kuhamasisha michezo mashuleni leo mchana. Picha na (SPM)

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.