Habari za Punde

Michuano ya ngumi ya Taifa yapamba moto jijini Dar es Salaam

Aaah! nini chukua hiyo ya uso, tulia hivyo hivyoooo, bado naleta nayapili.........Amos Mwamakula wa Miembeni (kushoto), akimsukumia konde zito mpinzani wake, Shauri Yasin wa Polisi Dar es Salaam, wakati wa mchezo wao wa raundi tatu katika michuano ya Taifa inayoendelea kwenye Viwanja vya Leaders Club jijini. Amos alishinda baada ya Yassin kupigwa ngumi nyingi za kichwa na refa kusimamisha pambano (RSCH). Picha na (SPM)

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.