Habari za Punde

Usafiri hatari, Pikipiki ka gari

Hapa utafika tuuuu, we andaa buku mbili wewe na kreti zako ok!.....Usafiri kama huu ni rahisi lakini bado ni hatari kwa maisha ya watumiaji, pichani ni mama anayeonekana kuwa ni mfanyabishara wa bia, akiwa amepakiwa katika pikipiki na makreti yake yaliyo na bia akitoka kununua akipeleka eneo lake la kufanyia biashara, kama alivyokutwa na mpiga picha wetu hivi karibunu, kijiji cha Segera. Picha na (SPM)

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.