Habari za Punde

Naibu Waziri kiongozi, serikali ya Mapinduzi Zanzibar ziarani Dar es Salaam.

Karibu Mheshimiwa hapa ndiyo jikoni haswaaaaa......Naibu Waziri Kiongozi wa Seriali ya Mapinduzi Zanzibar, Ali Juma Shamuhuna (katikati), akipita ndani ya Chumba cha habari cha gazeti la Serikali Dailly News, wakati alipotembelea kwenye ofisi hizo akiwa katika ziara yake jijini Dar es Salaam leo. Picha na (SPM)

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.