Habari za Punde

Viongozi wa Siasa wakutana Dar es Salaam.

Hali ni ngumu jamani msilete maskhala tuwe siliasi.....Mwenyekiti wa Taasisi ya Mwalimu, Nyerere, Dk Salim Ahmed Salim (wapili kushoto), Jaji Joseph Warioba (kulia) Mwenyekiti wa CUF, Ibrahim Lipumba (kushoto) na Katibu Mkuu wa CUF, Maalim seif Sharif Hamad wakiingia kwenye Viwanja vya Karimjee Dar es Salaam, kuhudhulia Kongamano la kujadili hali ya Kisiasa Visiwani Zanzibar leo.
Picha na (SPM)

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.