Habari za Punde

Hali ya Kisiasa Visiwani Zanzibar

Haiwezekani mtu mzima anamiaka 40 na...., aambiwe kuthibitisha miaka yake eti ndo aandikishwe Kiongozi wa upinzani Bungeni, Hamad Rshid Mohamed, akihojiwa na waandishi wa habari wa Televisheni ya Taifa TBC1 leo, kuhusu hali ya kisiasa Visiwani Zanzibar wakati alipokuwa amehudhulia kongamano la kujadili hali ya kisiasa Visiwani Zanzibar. Picha na (SPM)

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.