Habari za Punde

Taswa nayo yatoa zawadi ya mipira kwa Vodacom Mkoa wa Tanga

Tunawaachia mipira hii japo mpunguze machungu ya kufungwa tatu bila...
Mwenyekiti wa Taswa Fc, majuto Omar (kulia) akimkabidhi mipira Meneja wa Duka la Vodacom Mkoa wa Tanga Lusekelo Katamba, mara baada ya kumalizika kwa mchezo wa kirafiki kwenye Uwanja wa Mkwakwani mwishoni mwa wiki. Taswa ilishinda 3-0. Picha na (SPM)

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.