Habari za Punde

Muongozo muhimu kwa Waumini wa Kiislam

Hivi ndiyo vitabu vya Muongozo wa Waislam jamani mmeviona? Sheikh, Ponda Issa ponda (wapili kushoto) na viongozi wenzake, wakionyesha vitabu vya Muongozo wa Waislam, mara baada ya uzinduzi rasmi wa Muongozo huo uliofanyika kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja Dar Es Salaam jana. Picha na (SPM)

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.