Habari za Punde

Vodaco yadhamini ziara ya Taswa Fc Mkoa wa Tanga

Angalieni kwa makini si uchawi ila inawezekana kutuma pesa kiasi chochote kwa gharama ya Sh. 200 tu...Meneja wa Vodashpo Mkoa wa Tanaga, Lusekelo Katamba (kushoto) akiwaelekeza baadhi ya viongozi wa Timu ya Taswa jinsi ya kutumia simu ya mkononi kutuma Pesa, wakati
walipofika katika ofisi hizo mpya za Vodacom, zilizoanza kutoa huduma hiyo hivi karibuni ikiwa ni ziara maalum ya Taswa iliyodhaminiwa na Kampuni ya simu za Mkononi VODACOM TANZANIA. Picha na (SPM)

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.