Habari za Punde

Wananchi wafurika Mahakama Kuu kusikiliza hukumu ya Zombe

Lazima nasie tusikilize hukumu ya Zombe weeeeeenyewe!Wakazi wa jijini Dar es Salaam, wakiwa nje ya Mahakama Kuu wakisubiri kusikiliza hukumu ya aliyekuwa Mkuu wa Upelelezi wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Dar es Salaam Abdallah Zombe leo. Picha na (SPM)

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.