Habari za Punde

Zombe sasa huru, achekelea meno thelathinanje yote mbili

Niko huru makamanda wangu nilindeni sasa, teh teh teh!.......Ubosi upo pale pale teh teh teh!Aliyekuwa Mkuu wa Upelelezi wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Dar es Salaam, Abdallah Zombe, (katikati) akichekelea huku akiwa katikati ya ulinzi wa askari kanzu nao wakifurahia kuachiwa kwake, mara baada ya hukumu iliyosomwa kwenye Mahakama Kuu leo. Picha na (SPM)

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.