Habari za Punde

Waislam wazindua Muongozo maalum kwa Waislam na Watanzania kwa jumla kuelekea Uchaguzi Mkuu 2010

Huu si walaka kwa Serikali naomba tueleweke, huu ni Muongozo jamani.... Katibu Mkuu wa Kamati ya maandalizi ya uzinduzi wa Muongozo wa Waislam, Ramadhan Sanze, akizungumza jambo mbele ya hadhara ya waislam waliojitokeza kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja Dar es Salaam jana, wakati wa uzinduzi wa Kitabu cha Muongozo huo. Picha na (SPM)

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.