Habari za Punde

Waumini wa Kiislam, wamiminika Viwanja vya Mnazi Mmoja

Tumekuja kushuhudia uzinduzi wa Muongozo wetu..... Mmoja wa waumini wa Kiislam, akifurahia jambo kwa kupeperusha bendera yake hewani mbele ya umati wa waumini wa dni hiyo, wakati wa uzinduzi wa Kitabu cha Muongozo uliofanyika jijini Dar es Salam jana. Picha na (SPM)

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.