Habari za Punde

KITCHEN PARTY YA MZUNGU YAFUNIKA BOVU DAR

Tumemaliza kumfunda rafiki, mfanyakazi mwenzetu , hureeeeeeeeeeeee...........Bibi harusi mtarajiwa, Carmen (katikati) akiwa na wafanyakazi wenzake wa UN, katika picha ya pamoja mara baada ya shughuli ya Kitchen Party kumalizika. Hii ilikuwa ni kitchen party ya aina yake kutokana na wahusika na Bibi harusi mwenyewe kuwa ni Muitaliano na baadhi ya wapambe wake kuwa ni raia wa nchi mbalimbali ambao wote walikuwa wakijitahidi angalau kucheza hata miondoko ya taarab na Funky kwa wingi kuliko Taarab. Picha na (SPM)

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.