Habari za Punde

Miss Tanzania wala 'SHAVU' jingine kutoka Tanzania Tourlist

Tumewaona wenzetu nasi tunataka tujaribu, Karibuni Miss Tanzania ni sawa na 'Ubao wa Matangazo' tuuu.......Mkurugenzi wa Kamati ya Miss Tanzania, Hashim Lundenga (kushoto), akibadilishana mkataba wa udhamini wa Shindano hilo, na Meneja Masoko wa Bodi ya Utalii Tanzania, Geofrey Meena, mara baada ya kusainiana mkataba huo jijini Dar es Salaam jana. Katikati ni Mkuu wa Udhamini na Mawasiliano wa Vodacom, George Rwehumbiza. Picha na (SPM)




No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.