Habari za Punde

Kesi ya wavuvi haramu yahamishiwa Mahakama Kuu

Ujajua hii kesi iliwachanganya sana Mahakimu wa Kisutu, so imeletwa kwetu.....tukaze buti Makawakili Ibrahim Bendera (kulia) na Erasmus Buberwa, wakijadiliana jambo ndani ya Mahakama Kuu Dar es Salaam jana, wakati wakisubiri kuendesha kesi ya wavuvi haramu, iliyohamishiwa kwenye Mahakama hiyo kutoka Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu. Hata hivyo kesi hiyo iliahirishwa kutokana na kutofika kwa washitakiwa hao, ambapo inatarajia kusikilizwa kesho. Picha na (SPM)

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.