Habari za Punde

Wanafunzi na simu za mkononi, wapi na wapi

Hata kama wenaniona watu wengine kwani wazazi wangu, ehee endelea ntukuja nikitoka skuli m2 wangu uskonde, teh teh teh1..........ila leo sio pale pa ja.......Mwanafunzi wa Shule ya Sekondari, ambaye hakuweza kufahamika jina lake, akitumia simu ya mkononi wakati akielekea shuleni akiwa na sare za shule, kama alivyokutwa na Sufianimafoto akikatiza kwenye Mitaa ya Posha jijini Dar es Salaam leo mchana. Pamoja na agizo la kuwataka wanafunzi kutotumia simu wakati wa muda wa masomo inaonekana kupuuzwa kwa agizo hilo kutokana na wanafunzi wengi kuwa na simu za mkononi. Picha na (SPM)

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.