Habari za Punde

Balozi mpya wa Uingereza Nchini, atoa msaada wa Futari kwa Yatima

Pole mutoto na mufungo wa Ramadhani...........Balozi wa Uingereza nchini, Diane Corner (kushoto) akimkabidhi mkungu wa ndizi mmoja wa watoto Yatima, Rehema Shaaban, ikiwa ni msaada wa futari iliyotolewa kwa ajili ya Vituo vitatu vya, Alharamain kilichopo Mbagala Kichemchem, Masjid Kuba na Mbagala Charambe. Balozi huyo jana alitembelea Kituo hicho na kutoa msaada wa vyakula mbalimbali vya kumalizia siku za mfungo wa Ramadhani. Nyumba ni Mkuu wa Kituo hicho, Shukuru Mtalemwa na mtoto Adam Almas. Picha na (SPM)

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.