Habari za Punde

Waandishi wa habari ndani ya 'Mavazi ya Mfungo'

Yaani bora Mwezi huu uendelee tu jamani, kama sio sisi....... Waandishi wa habari wa Zena Chande (kushoto), Somoe Ng'itu (katikati) na Sophia Ashery, wakiwa katika hekaheka za kusaka habari katikati ya mitaa ya Jiji la Dar es salaam leo mchana, wakiwa wamevalia mavazi yanayoendana na mwezi Mtukufu. Kufuatia mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhan, kinadada waliowengi wameonyesha kuuheshimu mwezi huu kwa kubadilika katika suala zima la mavazi, ambapo wengi wao huonekana na mavazi kama ya waandishi hawa pichani. Picha na (SPM)

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.