Habari za Punde

Mkataba wa Redd's na Miss Tanzania hadharani

Ahsante sana Redd's, mungu awabariki nawaahidi 'Ndoa hii itadumu' milele hata baada ya miaka mitatu, teh teh teh teh....... Mkurugenzi wa Kamati ya Miss Tanzania, Hashim Lundenga (kulia) na Meneja wa Redd's, Kabula Nsimo (kushoto), wakibadilishana mkataba wa miaka mitatu wa udhamini wa Shindano la Miss Tanzania, mara baada ya kutiliana saini mkataba huo kwenye Hoteli ya Savanah jijini Dar es Salaam, leo mchana. Wapili kulia ni Meneja wa Udhamni wa Vodacom, Emillian Rwejuna na Meneja wa udhamnini na Burudani wa Redd's, George Kavishe. Picha na (SPM)

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.